Tuesday, 22 September 2015

diego costa apewa adhabu kwa utovu wa nidhamu kwenye mpira wa chelsea na arsenal

mchezaji diego costa apewa adhabu ya kukaa nje ya mchezo katika ligi kuu ya uingereza baada ya kukutwa na kosa katika mchezo wa chelsea na arsenal

hadhabu hii imetokea katika mchezo ambapo mhispania huyu kumuwekea mkono usoni mchezaji Laurent Koscielny 
katika mchezo huu chelsea ilishionda kwa 2-0 kwa arsenal 

klabu zote mbili kati ya chelsea na arsenal zakumbwa na adhabu kwa kushindwa kuwatuliza na kuwadhibiti wachezaji wao wakati wa ugomvi
lakini refa mike dean hajakumbwa na hadhabu kwa kushindwa kuongoza mchezo katika uwanja wa stamford bridge

imethibitishwa kuwa atachezesha mpira dhidi ya west ham na norwich katika weekend hii

mchezaji mwenzake wa chelsea ndugu zouma amesema mchezaji mwenzake ni muongo siku zote kwaiyo ni mtu wa kupewa hadhabu siku yoyote
timu ya arsenal imeshinda rufaa yake kwa mchezaji wake gabriel kufutiwa kadi yake aliyopewaDiego Costa
diego costa akiwa anataka kupigana na wachezaji wa arsenal kwa kujitia umwamba


diego costa akimlagai refa ili akwepe kupata adhabu ya mchezo

No comments:

Featured Post

Ronaldo kaonyesha yeye ni mwamba dhidi ya Salah

Mchezaji  wa klabu ya Real Madrid na nahodha wa timu ya taifa ya Ureno amefunga magoli mawili  (2) katika mechi kati ya Ureno na Misri...