Louis Van Gaal amesema Manchester United itashika usukani ligi ya uingereza baada ya ushindi wa 3-2 dhidi ya Southampton
- Manchester United imeishindaSouthampton 3-2 jumapili na kushika nafasi ya pili nyuma ya mnchester city
- United ni point mbili nyuma ya vinara wa ligi hiyo Manchester City baada ya michezo 6
- Van Gaal amesema United walikaribia kushika nafasi za juu msimu uliopita ila saivi atapambana kupata ushindi zaidi
- Ronald Koeman amesema Southampton ni timu nzuri pia
antony martial(katikati) akifunga goli lake la pili katika mpira wa kusawazisha dhidi ya southampton 1-1
mchezaji martial kulia akisherehekea goli yeye na juan mata, martial alisajiliwa kwa paund £58 milion
van gaal awaambia mashabiki wake kuwa hakutegemea kama kijana mdogo wa miaka 19 angeweza kuzoea ligi mapema hivyo anahitaji pongezi
No comments:
Post a Comment