bale anafunga goli lake la 43 akiwa katika ligi ya spain
japo kuwa bale bado anamkataba wa miaka mitatu uliobaki lakini real hawataki kusmbuliwa maana mchezaji huyu anatakiwa na klabu kubwa duniani kama PARIS SAINT GERMAN, BAYERN MUCHEEN, MANCHESTER UNITED
mchezaji wa zamani wa klabu ya SOUTHAMPTON NA SPURS amekuwa kivutio na tegemezi sana kwa kocha zidane na pia kabla ya zidane alisajiliwa kwa kitita cha paund mil 85 kwa kuvunja rekodi ya dunia
real madrid wako tayari kuwauza nyota wake Isco, James Rodriguez na hata Ronaldo kwa ajili ya kuongeza fedha za kutengeneza kikosi
mshahara atakaopewa utakuwa ni wakumpita ronaldo na utakuwa ni wa kumpa motisha bale
bale chini ya kocha ZIDANE
No comments:
Post a Comment