Wednesday, 24 August 2016

LIVERPOOL 5-0 BURTON ALBION


ANGALIA MAGOLI WALIYOFUNGA LIVERPOOL DHDI YA TIMU YA BURTON ALBION
Tom Naylor alijifunga mwenyewe na kuipatia Liverpool bao la tatu dakika ya 61, kabla ya Daniel Sturridge ambaye aliingia kutokea benchi kufunga mawili mnamo dakika ya 78 na 83 na kuhitimisha karamu ya mabao 5-0 kwa Liverpool.

No comments:

Featured Post

Ronaldo kaonyesha yeye ni mwamba dhidi ya Salah

Mchezaji  wa klabu ya Real Madrid na nahodha wa timu ya taifa ya Ureno amefunga magoli mawili  (2) katika mechi kati ya Ureno na Misri...