Eden Hazard ameweza kuelewana na kocha konte kwa kumuamini na kumpa nafasi za kucheza katika kikisi cha chelsea alikua akizungumza hayo hazard amwagia sifa conte na kumponda Morinho.utofauti wa mbelgiji huyu na jose morinho ulionekana pale timu ilipoanza kufanya vibaya na kutaka kumuondoa hazard.
ikifuata kufukuzwa kwa kocha huyo ambaye alishindwa kutetea taji lake na kuanza kumtuhumu mchezaji Gary Cahill ndio mzigo katika timu lakini chini ya morinho mchezaji huyu hakufanya vizuri ila kwa sasa anaonekana ni mchezaji tegemezi katika kikosi cha chelsea.
No comments:
Post a Comment