man of the match wa ELCLASSICO ya leo ni nani?
timu zote zilicheza mpira mzuri sana na wakuonana ingawa refa hakuwa makini sana maana walioshika kwenye eneo la hatari walikuwa wengi.
suarez aliwafungia barcelona goli la kuongoza dakika ya 53 na ramos dakika ya 90.
real madrid ilimkosa gareth bale, ton krose pamoja na beki wao pepe
barcelona ilifanya kama kushtukiza kwa kumuanzaisha gomez na kumuacha iniesta ila baad ya kuingia iniesta tu barcelona ikatulia.
goli kipa aokoa kichwa kilichopigwa na ronaldo na kilikuwa kinaelekea golini. neymar alipewa kadi ya manjano baada ya kumchezea Lucas Vazquez madhambi.
karim benzema mchezo haukuwa wakwake leo alibidi atoke maana mpira ulikuwa wa kukimbizana tuu.
klabu zote mbili zilionyesha kuomboleza kwa klabu ya chapecoense ya brazili waliopata ajali ya ndege.
isco akiwania mpira
goli la suarez kwa kichwa.
goli la ramos kwa kichwa pia.
real madrid 1-1 barcelona
 
 
 
 
 
No comments:
Post a Comment