Sunday, 29 January 2017

MESI AMNUNULIA MAMA YAKE MVINYO WA BEI GALI


Lionel Messi ameonyesha fedha si chochote kwa mzazi, maana amenunua chupa mvili za mvinyo kila moja ikiwa na thamani ya pauni 430 (zaidi ya Sh milioni 1.3).

Maana yake kwa chula mbili ni Sh milioni 2.6 ikiwa ni kukamilisha sherehe ya miaka 57 ya mama yake mzazi airway Celia.

Mvinyo huo ghali aina ya Vega-Sicilia's Unico, ulionekana kwenye picha za mtandao wa Instagram wakati Messi akisherekea pamoja na mama yake.

Baadaye alitupia picha wakati Celia akiwa anasherekea na wajukuu zake.


Messi ni raia wa Argentina ambaye alihamia Hispania akiongozana na baba yake, wakati huo Messi akiwa na umri wa miaka 13.


Messi alitua Argentina akiwa amekwenda kutibiwa ugonjwa wa kukua huku akitakiwa kujiunga na Barcelona ambayo aliiomba imsadie gharama za matibabu

No comments:

Featured Post

Ronaldo kaonyesha yeye ni mwamba dhidi ya Salah

Mchezaji  wa klabu ya Real Madrid na nahodha wa timu ya taifa ya Ureno amefunga magoli mawili  (2) katika mechi kati ya Ureno na Misri...