Sunday, 25 June 2017

jezi mpya za klabu ya arsenal Hizi hapa

Arsenal imetangaza uzi wake mpya kwa ajili ya msimu wa 2017-18.

Tayari mashabiki wake sehemu mbalimbali England wameanza kujitokeza kwa wingi madukani kuzinunua.

Jezi za Arsenal ambao ni mabingwa wa Kombe la FA kama ilivyokuwa msimu mpya zinatengenezwa na kampuni ya Puma ambao ni sehemu ya wadhamini wa klabu hiyo.






No comments:

Featured Post

Ronaldo kaonyesha yeye ni mwamba dhidi ya Salah

Mchezaji  wa klabu ya Real Madrid na nahodha wa timu ya taifa ya Ureno amefunga magoli mawili  (2) katika mechi kati ya Ureno na Misri...