Khan hajawahi kuingia ulingoni toka apigwe na Canelo Alvarez kwenye uwanja wa Las Vegas tangu May 2016.
tangu hapo hajawahi kucheza na alifanyiwa upasuaji kutokana na matatizo ya mkono wake, na amesema hataki mchezo sasa kwakuwa amerudi kwa mbio kali sana kwa yoyote atakayekuwa mbele yake yeye lazima atampiga.
bondia huyu mwenye umri wa miaka 31-ametangaza kurudi katika ndondi kwa mwaka huu wa 2018 na ataanza mapambano yake kuanzi mwezi wa 4 tarehe 21 katika uwanja wa Echo Arena Liverpool
No comments:
Post a Comment