Thursday, 25 January 2018

Mesut Ozil aonyesha dalili za kuihama klabu ya Arsenal

Ozil has rediscovered his best form on the pitch this season, and impressed against ChelseaArsenal wameingia katika mbio za kuhakikisha wanamshamwishi Mesut Ozil abaki katika klabu baada ya kujihisi mpweke kwa kumkosa sanchez katika kikosi cha arsenal.
mchezaji huyu kipenzi cha mashabiki wengi kutoka arsenal ameonesha kukata tamaa baada ya rafiki yake kipenzi kwenda manchester united
Arsenal's Mesut Ozil could leave the club as a free agent when his deal expires this summer

Mesut ozil anaweza kuondoka kama mchezaji huru kwenye klabu mwisho wa msimu huu. 

klabu ya Arsenal imeonekana kutaka kumuongeza mshahara kutoka £250,000 kwa wiki hadi £300,000 kwa wiki ili kumshawishi aendelee kuwa katika kikosi 

No comments:

Featured Post

Ronaldo kaonyesha yeye ni mwamba dhidi ya Salah

Mchezaji  wa klabu ya Real Madrid na nahodha wa timu ya taifa ya Ureno amefunga magoli mawili  (2) katika mechi kati ya Ureno na Misri...