ALAFU KIJANA ANAKUAMBIA ANAIPENDA CCM JE IKO AKILI AU AMEPAGAWAAA??
mgombea mwenza kwa tiketi ya chadema akitembelea choo cha zahanati kijiji cha kasanga hivi kweli mtu unasema kweli tumpe magufuli na ccm yake kura kwa nini?
akiwa katika hiyo zahanati ndugu zangu kweli hii ni shida au vipi maana iko chafu kupita maelezo kwa hali hii hatuwezi kuendelea ndugu zangu wapenda
watu wa ccm hawakawii kusema ndugu temba umetengeneza hii picha ila kiukweli hiyo ndio hali halisi
akiwa katika gari kwa mapokezi mazito ndugu yetu wa chadema
No comments:
Post a Comment