Tuesday, 13 October 2015

historia ya abdalah kigoda

Abdallah Kigoda

Abdallah Omar Kigoda (amezaliwa 25 Novemba 1953 – 12 October 2015) alikuwaMbunge katika Bunge la Tanzania la 2005-2010 akiwakilisha jimbo la uchaguzi laHandeni.

MEMBER OF PARLIAMENT CV

GENERAL
SalutationHon.
First Name:Dr. Abdallah
Middle Name:Omar
Last Name:Kigoda
Member Type:Elected Member
Constituent:Handeni
Political Party:Chama Cha Mapinduzi
Office Location:P.O. Box 80 HANDENI, TANGA
Office Phone:+255 784 734444/+255 754 734444Office Fax:
Office E-mail:akigoda@parliament.go.tz
Member Status:Active
Date of Birth25 November 1953
EDUCATION
School Name/LocationCourse/Degree/AwardStart DateEnd DateLevel
Chanika Primary SchoolCPEE19591960Primary School
Mswaki Primary SchoolCPEE19611965Primary School
Tanga Secondary SchoolCSEE19661969Secondary School
Mzumbe High SchoolACSEE19701971Secondary School
University of Dar es SalaamB.A (General)19721975Bachelor
Vanderbilt University Nashville, Tennesse-USAM.A (Economics)19791980Masters Degree
University of Missouri-ColumbiaPhD. (Agricultural Economics)19811985PhD
EMPLOYMENT HISTORY
Company NamePositionFromTo
The Parliament of TanzaniaChairperson - Finance & Economic Affairs Committee20052010
President's Office, Planning and PrivatizationMinister20002005
Ministry of Energy and MineralsMinister19972000
Ministry of Industries and TradeMinister19951996
Planning CommissionEconomist19851994
Ministry of Finance, Planning and Economic AffairsEconomist19791980
Prime Minister's Office- DodomaEconomist19751978
POLITICAL EXPERIENCE
Ministry/Political Party/LocationPositionFromTo
Chama Cha Mapinduzi - CCMGuardian Mwanza Region2002To Date
Chama Cha Mapinduzi - CCMMember of National Executive Council (Tanga)19972010
Chama Cha Mapinduzi - CCMNational Party Treasurer19972002
Chama Cha Mapinduzi - CCMMember of Central Committee19972010
Chama Cha Mapinduzi - CCMCCM Youth Chairman19781979
TANUMember of TANU Youth League1966To Date
SPECIAL SKILLS
Skill Name or DescriptionExperienceAcquired Through
Seasonal Economist0-

liyekuwa Waziri wa Viwanda na Biashara na Mbunge wa Handeni, Tanga, Dkt Abdallah Omar Kigoda. Marehemu alifariki dunia katika Hospitali ya Apolo nchini India tarehe 12 Oktoba 2015. Mwili wa marehemu unatarajiwa kuwasili nchini  Tanzania tarehe 14 Oktoba 2015 kwa Ndege ya Shirika la Emirates saa 8:30 mchana na kupelekwa katika Hospitali Kuu ya Jeshi Lugalo kuhifadhiwa. Tarehe 15 Oktoba 2015 saa 2 asubuhi katika viwanja vya Karimjee heshima za mwisho zitatolewa na baada ya hapo safari ya kwenda Handeni kwa mazishi itaanza. Mazishi yafanyika siku hiyo hiyo ya Alhamis Handeni, Tanga. Marehemu alizaliwa tarehe 25 Novemba 1953. BWANA alitoa BWANA ametwaa. Jina la BWANA lihimidiwe!

No comments:

Featured Post

Ronaldo kaonyesha yeye ni mwamba dhidi ya Salah

Mchezaji  wa klabu ya Real Madrid na nahodha wa timu ya taifa ya Ureno amefunga magoli mawili  (2) katika mechi kati ya Ureno na Misri...