LOWASA AKIMNADI MBOWE KATIKA KAMPENI ZAKE JIMBO LA HAI
MKOANI KILIMANJARO
MGOMBEA Urais wa Tanzania kwa Tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), anaeungwa mkono na UKAWA, Edward Lowassa akimnadi Mgombea Ubunge wa Chadema, jimbo la Hai mkoani Kilimanjaro, ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chadema taifa, Freeman Mbowe katika mkutano wa hadhara uliofanyika hii leo mjini Hai.
Mgombea Ubunge wa Hai, na Mwenyekiti wa Chadema taifa, Freeman Mbowe (kulia) akimpokea Mgombea Urais wa chama hicho, Edward Lowassa.
Freeman Mboye akisaliamana wananchi wa Hai katika eneo la mkutano.
MGOMBEA Urais wa Tanzania kwa Tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), anaeungwa mkono na UKAWA, Edward Lowassa akihutubia mkutano huo wa hadhara.
Wananchi wakiwa katika mkutano huo
No comments:
Post a Comment