KAHAMA YAHEMEWA MKUTANO WA MAGUFULI
Friday, September 25, 2015
Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kutoka Chama Cha Mapinduzi Dk. John Pombe Magufuli akiwasili kwenye uwanja wa Milango 10 tayari kuhutubia maelfu ya wakazi wa mji wa Kahama waliojitokeza kwa wingi kwenye mkutano wa kampeni za CCM.
Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kutoka Chama Cha Mapinduzi Dk. John Pombe Magufuli akiruka kutoka kwenye gari wakati akiwasili kwenye uwanja wa mkutano mjini Kahama.
Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kutoka Chama Cha Mapinduzi Dk. John Pombe Magufuli( wa tatu kutoka kushoto) akiongoza meza kuu kumuombea mapumziko mema mgombea wa Ubunge wa Jimbo la Ulanga Mashariki Mhe. Celina Kombani aliyefariki nchini India tarehe 25 Sept.
Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kutoka Chama Cha Mapinduzi Dk. John Pombe Magufuli akiwachangamsha wakazi wa Kahama kwa kuimba nao nyimbo za hamasa wakati wa mkutano wa hadhara wa kampeni za CCM uliofanyika kwenye uwanja wa Milango 10.
Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kutoka Chama Cha Mapinduzi Dk. John Pombe Magufuli akienda sambamba na wakazi wa mji wa Kahama.
Wananchi wakiwa wamebanana kabisa kumuona Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kutoka Chama Cha Mapinduzi Dk. John Pombe Magufuli
Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kutoka Chama Cha Mapinduzi Dk. John Pombe Magufuli akihutubia wakazi wa mji wa Kahama na kuwaahidi ataubadilisha mji huo na kuwa wa kisasa na wenye maendeleo zaidi.
Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kutoka Chama Cha Mapinduzi Dk. John Pombe Magufuli akiwaambia wananchi wa Kahama kuwa atawafanyia kazi Watanzania wote bila kujali Itikadi zao za vyama.
Hivi ndivyo mkutano wa Kahama wa Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kutoka Chama Cha Mapinduzi Dk. John Pombe Magufuli ulivyofurika.
Wakazi wa Kahama mjini wakiwa wametosha kwenye mkutano wa kampeni za Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kutoka Chama Cha Mapinduzi Dk. John Pombe Magufuli
Chegge na Temba wakitumbuiza kwenye mkutano wa kampeni za Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kutoka Chama Cha Mapinduzi Dk. John Pombe Magufuli kwenye uwanja wa Milango 10.
Chegge na Temba wakishambulia jukwaa kwenye mkutano wa kampeni za Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kutoka Chama Cha Mapinduzi Dk. John Pombe Magufuli
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi na Mjumbe wa Kamati Kuu CCM Taifa Ndugu Alhaji Abdallah Bulembo akiwahutubia wakazi
Mjumbe wa Kamati ya Kampeni za CCM Mhe.Samuel Sitta akihutubia wakazi wa Kahama mjini wakati wa mkutano wa kampeni wa Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kutoka Chama Cha Mapinduzi Dk. John Pombe Magufuli
Wasanii wa Yamoto Band wakitumbuiza kwenye mkutano wa kampeni za Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kutoka Chama Cha Mapinduzi Dk. John Pombe Magufuli.
Wachimbai wadogo wa Nyarugusu wakimsikiliza Mgombea wa Urais kwa tiketi ya CCM Dk. John Pombe Magufuli wakati akihutubia kwenye mkutano wa kampeni.
Mgombea wa Urais kwa tiketi ya CCM Dk. John Pombe Magufuli akihutubia wakazi wa Nyarugusu mkoani Geita.
Wakazi wa Bukoli wakimsikiliza Mgombea wa Urais kwa tiketi ya CCM Dk. John Pombe Magufuli
Mwananchi akifurahia jambo kwenye mkutano wa Mgombea wa Urais kwa tiketi ya CCM Dk. John Pombe Magufuli.
Mgombea wa Urais kwa tiketi ya CCM Dk. John Pombe Magufuli akihutubia wakazi wa Bukombe kwenye mkutano wa kampeni uliofanyika kwenye viwanja vya shule ya msingi Igurwa ,Bukombe mkoani Geita.
Umati wa wakazi wa Bukombe ukimsikiliza Mgombea wa Urais kwa tiketi ya CCM Dk. John Pombe Magufuli
Magufuli ni kazi tu.
Bukombe
Mgombea wa Urais kwa tiketi ya CCM Dk. John Pombe Magufuli akihutubia wakazi wa Mbogwe kwenye uwanja wa shule ya msingi Masumbwe.
Mgombea wa Urais kwa tiketi ya CCM Dk. John Pombe Magufuli akihutubia wakazi wa Mwabomba amabao wengi ni wachimbaji wadogo wadogo wa madini, Ushetu mkoani Shinyanga.
Msafara wa Mgombea wa Urais kwa tiketi ya CCM Dk. John Pombe Magufuli ukiwasili Bulungwa jimbo la Ushetu.
Mgombea wa Urais kwa tiketi ya CCM Dk. John Pombe Magufuli akimnadi mgombea wa ubunge jimbo la Ushetu Ndugu Elias John Kwandikwa.

MAMA SAMIA ARINDIMA KATIKA MIKUTANO YA KAMPENI MKOANI MOROGORO LEO
Msafara wa Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan ukiwasili mkoani Morogoro leo ukitokea mkoani Dodoma.
Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan akimsalimia Katibu wa CCM mkoa wa Morgoro Rojas Romuli wakati wa mapokezi yake, alipowasili mkoani Morogoro kufanya mikutano ya kampeni katika mkoa huo leo
Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan akimsalimia mgombea Ubunge Jimbo la Gairo, Ahmed Shabby wakati alipowasili mkoani Morogoro, kufanya mikutano ya kampeni mkoani humo.
Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan akiwapungua mkono wananchi waliofika kumlaki alipowasili mkoani Morogoro leo. Kulia ni Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Dodoma, Adam Kimbisa na wapili ni Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Morogoro, Inocent Karogeresi
Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM Mama Samia Suluhu Hassan akiwasili kwenye Uwanja wa Shule ya Msingi Gairo A, kuhutubia mkutano wa kampeni uliofanyika leo katika jimbo la Gairo mkoani Morogoro.
Baadhi ya wananchi wakiwa na mabango kwenye mkutano wa kampeni za CCM uliofanyika jimbo la Gairo leo.
Katibu wa CCM, mkoa wa Morogoro, Rojas Romuli akihutubia wananchi katika mkutano wa kampeni uliofanyika leo katika viwanja vya shule ya msingi Gairo A katika jimbo la Gairo mkoani Morogoro
Mgombea Ubunge jimbo la Gairo Ahmed Shabiby akihutubia wananchi katika mkutano wa kampeni wa Mama Samia uliofanyika leo katika jimbo hio mkoani Morogoro
Umati wa wananchi ukiwa umefurika kwenye Viwanja vya Shule ya Msingi Gairo A, wakati wa mkutano wa kampeni uliofanyika katika jimbo la Gairo mkoani Morogoro
Mwananchi akionyesha bango la kumfagilia Mgombea Urais kwa tiketi ya CCM, Dk. John Magufuli wakati wa mkutano wa kampeni uliofanyika leo katika jimbo la Gairo mkoani Morogoro
Mbunge wa Afrika Mashariki, Angela Kizigha akimvalisha kanga za CCM, Bibi Fatuma Farijala, baada ya kuona mavazi yake yamechakaa, akiwa mmoja wa wananchi waliohudhuria mkutano wa kampeni za CCM uliofanyika katika jimbo la Gairo mkoani Morogoro leo
Wananchi wakimshangilia Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassa alipohutubia mkuano wa kampeni leo katika jimbo la Gairo mkoani Morogoro

Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan akihutubia mkutano wa kampeni uliofanyika leo katika jimbo la Gairo mkoani Morogoro
Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan akimtambulisha aliyekuwa Mwenyekiti wa Chadema wilaya ya Gairo, Yona Senyagwa, baada ya kutangaza kuhamia CCM wakati wa mkutano wa kampeni uliofanyika leo katika jimbo la Gairo mkoani Morogoro. Kulia ni aliyekuwa Katibu wa zamani wa Chadema kwa miaka kumi John Mwenda ambaye pia alitangaza kuhamia CCM wakati wa mkutano huo
---------------------------------------------------------------------------------------
JIMO LA MIKUMI
Msafara wa Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu ukiwa umezuliwa njiani na wananchi katika eneo la Rudewa, wakati akiwa njiani kwenda kuhutubia mkutano wa kampeni leo katika jimbo la Mikumi mkoani Morogoro
Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan akizungumza na wananchi baada ya kuzuia msafara wake katika eneo la Kilosa mkoani Morogoro leo
Mkazi wa Kilosa mkoani Morogoro, akiwa amembeba mtoto wake mabegani huku akimsikiliza Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu, baada ya wananchi kuzuia msafara wake katika eneo hilo leo
Wananchi wakiwa wamezuia msafara wa mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan katika eneo la Masanze mkoani Morogoro leo
Mwananchi akiwa amemkinga jua mtoto aliyembeba mgomgoni huku akimsikiliza Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan alipozungumza na wananchi baada ya kuzia msafara wake katika eneo la Masanze mkoani Morogoro leo
Msafara wa Mama Samia ukishangiliwa wakati ukiondoka eneo la Masanze
Mgombea Mwenza wa Uras kwa tiketi ya CCM Mama Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Mwanamuziki wa Kizazi Kipya Juma Kiroboto maarufu kwa jina la Juma Nature, alipowasili kwenye mkutano wa kampeni aliofanya katika jimbo la Kilosa mkoani Morogoro leo.
Msani wa Bongo Movie, Vincent Kigosi maarufu kwa jina la Ray, akizungumza kwenye mkutano wa kampeni wa Mama Samia uliofanyika leo katika jimbo la Kilosa mkoani Morogoro leo. Ray ambaye awali alikuwa Ukawa, sasa yupo CCM katika kampeni inayoitwa "Nimestuka"

No comments:
Post a Comment