Manchester United vs Ipswich, Capital One Cup: mchezo mzima
Man Utd 3-0 Ipswich
- W. Rooney23
- A. Pereira60
- A. Martial90+2
manchester united imeichakaza klabu ya IPSWICH jana katika mpira wao kwenye kombe la capital one ambapo mchezaji mkongwe klabuni hapo na mzuri zaidi aliyerudi baada ya kuumia akitumbukiza kambani muda kabla ya mapumziko
ROONEY dakika ya 23
Andreas Pereira dakika ya 60
Antony Martial dakika za nyongeza
rooney akionyesha uwezo wake kwa kuisaidia timu yake kufika kwenye round ya nne
rooney anafanya kutoka na kumuachia ndugu memphis aliyekuja kuonyesha uhai zaidi ndani
Rooney akifunga goli la ufunguzi kwenye mchuano wa capital one cup

mchezaji kutoka katika kikosi kidogo cha manchester united Andreas perreira
mchezaji kinda kutoka klabu ya manchester akipiga mpira wa adhabu alipoachiwa na mchezaji juan mata na kuutumbukiza kimiani baada ya hapo alimkimbilia mchezaji juan mata kwa kumpa neema hiyo
No comments:
Post a Comment