Southampton 2-3 Manchester United: uwepo wake mkubwa Anthony Martial ameisaidia timu ya Louis van Gaal's kwa mashambulizi kutoka nyuma katika uwanja wa St Mary's
- Graziano Pelle akiwa nyumbani aliipa timu yake goli la kuongozadakika ya 13 ni baada ya mpira uliopigwa na Sadio Mane's kuokolewa
- kabla ya kipindi cha kwanza kuisha, Anthony Martial alifunga goli lake la pili katika ligi ya uingereza Premier League katika mechi zake alizocheza Manchester United
- Martial alirudi tena nyavunibaada tu ya kipindi cha kwanza kuanza, Maarten Stekelenburg baada ya makosa kutoka kwa Maya Yoshida
- Juan Mata aliongeza goli la tatu kwa United, kurudishashuti kwenye nyavu baada ya shuti la Memphis Depay's kugonga mwamba na kurudi
- baadae hofu iliongezeka kwa manchester United baada ya Pelle kuifungia tena timu yake goli la pili wakiwa nyumbani kwa wasiwasi wasijekuongezwa
- kwa upande wa Louis van Gaal yeye amepanda hadi nafasi ya pili , point mbili nyuma ya Manchester City
- Gary Neville: Anthony Martial ataanza kwa asilimia 95 ya michezo ya timu ya Manchester United... Louis van Gaal anahitaji uwepo wake
mchezaji antony martial akishangilia goli lake alilolifungia manchester united
goli alilofunga pele baada ya shuti alilopiga mano kurudishwa na goli kipa dakika ya 13
goli kipa david de gea akiwa chini baada ya kufungwa goli la pili kwenye msimu huu wa ligi kuu uingereza
wachezaji wa southampton wakishangilia goli lao baada ya kuifunga manchester united
juan mata akishangilia goli aliloifungia manchester united Antonio Valencia (kushoto) and Morgan Schneiderlin (kulia)
hii ndio jinsi pasi zilizochezwa hadi kulipata goli la mata
No comments:
Post a Comment