Manchester City 1-2 West Ham United, ligi kuu uingereza - Victor Moses na Diafra Sakho kuipa ushindi timu yao ya West Ham ugenini
utofauti katika rasilimali kati ya hizi man city pamoja na westham imekuwa ikiendelea baada ya westham kuifunga man city. man city pamoja na kuwa na Raheem Sterling kwa Wilfried Bony kwa pesa aliyotumia man city ni nyingi kwa mchezo alioonesha uwanjani nyumbani dhidi ya westham
wachezaji wa westham united wakishangilia goli
moses akimfunga joe hert kutoka mbali
mangala kushoto aangalia mpira wa goli uliopigwa na moses juu.
joe hart akipelekwa maketi baada ya mpira kumpotea kabisa baada ya sakho kupiga kichwa safi
de bruyne afunga goli lake la kwanza ndani ya man city katika ligi kuu uingereza
takwimu nzima ya mchezo dhidi ya manchester city na westham
Manchester City | Comparison | West Ham United |
---|---|---|
1 | 33.3%66.7% | 2 |
Manchester City | Comparison | West Ham United |
---|---|---|
27 | 81.8%18.2% | 6 |
Manchester City | Comparison | West Ham United |
---|---|---|
8 | 72.7%27.3% | 3 |
Manchester City | Comparison | West Ham United |
---|---|---|
10 | 100%0% | 0 |
Manchester City | Comparison | West Ham United |
---|---|---|
9 | 81.8%18.2% | 2 |
Manchester City | Comparison | West Ham United |
---|---|---|
18 | 81.8%18.2% | 4 |
Manchester City | Comparison | West Ham United |
---|---|---|
47.1% | 48.5%51.5% | 50% |
No comments:
Post a Comment