jumanne, Sept. 22
PAPA AWASILI NCHINI MAREKANI KWA ZIARA YAKE HUKO
ndege ya papa francis wa I ikiwa inatua katika uwanja wa ndege marekani(st.base andrew)
WASHINGTON — mtu mwenye nguvu zaidi duniani kutoka taifa kubwa na lenye nguvu zaidi dunuani akimpokea kiongozi wa dini papa Francis kwenye historia ya marekani
raisi obama ampokea kwa madai kwamba alikuwa anamsubiri kwa hamu sana ujio wa papa huyu wa kanisa la ROMA
papa francis atatembelea ikulu kwa raisi barack obama siku ya jumatano asubuhi, lakini kama isivyo kawaida Obama mwenyewe ametoka kumpokea katika uwanja wa ndege siku ya juma tano mchana
papa asema hatoongelea swala la kuwekewa vikwazo kwa nchi ya cuba
zaidi ya watu milioni moja wanakadiriwa kushiriki katika ibada ya misa itakayoongozwa na papa katika eneo la wazi la Philadelphia's Benjamin Franklin Parkway. pia atatembelea Curran-Fromhold ratiba za mapapa waliotembelea marekani ni kama ifuatayo
umati wa watu wakiwa wanamsubiri kushuka chini papa francis
papa akisalimiana na mtoto wa obama
papa akiwa anashuka na watumishi wakatoliki wakimsubiri na nguo zao nyeusi
• 10 jioni.: Pope Francis atawasili Washington, D.C., kwenye eneo la Joint Base Andrews
Jumatano, Sept. 23
• 9:15 asubuhi: ikilu kwa obama White House kutakuwa na sherehe ya ukaribisho
• 11:30 asubuhi: sala ya asubuhi na maaskofu wa marekani kwenye eneo la Saint Matthew's Cathedral
• 4:15 jioni: ibada ya misa Junipero Serra Canonization
Alhamisi, Sept. 24
• 9:20 asubuhi: atahutubia eneo la wazi
• 11:15 asubuhi: atatembelea kanisa katoliki St. Patrick's na Catholic Charities of theArchdiocese ya washington
• 4 joini.: kuhama Base Andrews kwenda New York
• 5 jioni.:kuwasili katika uwanja wa ndege wa John F. Kennedy International Airport , New York
• 6:45 jioni.: sala ya jioni katika kanisa la St. Patrick's Cathedral ,New York
Ijumaa, Sept. 25
• 8:30 asubuhi.: atatembelea ofisi za umoja wa mataifa
• 11:30 asubuhi: kufanya kazi tofauti katika eneo la 9/11 Memorial and Museum, World Trade Center
• 4 jioni: kuwaqtembelea wasichana wa malkia katika shule ya Angels School in East Harlem
• 6 jioni.: ibada ya misa Madison Square Garden
Saturday, Sept. 26
• 8:40 a.m.: atahama kutoka John F. Kennedy International Airport kwenda Philadelphia
• 9:30 a.m.: atawasili katika eneo la Atlantic Aviation , Philadelphia
• 10:30 a.m.: ibada ya misa katika makanisa ya Cathedral Basilica la Saints. Peter and Paul
• 4:45 p.m.: atatembelea uwanja wa uhuru nchini humo
• 7:30 p.m.: atahudhuria katika tamasha la Benjamin Franklin Parkway na pamoja na sala katika jumuiya za familia za watu duniani
jumapili, Sept. 27
• 9:15 a.m.: papa atakutana na maaskofu katika eneo la St. Martin's Chapel, St. Charles Borromeo Seminary
• 11 a.m.: atatembelea eneo la Curran-Fromhold Correctional Facility
• 4 p.m.: ibada ya misa kwa watu wote wa dunia
• 7 p.m.: atakutana na watu mbali mbali
• 8 p.m.: ataondoka kurudi Rome
imetayarishwa na : Jenna Pizzi and Shahrazad Encinias, The (Wilmington, Del. ) News Journal
picha ya papa akiwa katika mapokezi nchini marekani akiwa na obama
No comments:
Post a Comment