TIMU YA
CHELSEA MATATANI BAADA YA KUMFUKUZA KAZI DAKTARI WAO WA KIKE.
Hali hii imetokea baada ya kampeni
ya wanawake katika mpira wa miguu kuishtaki klabu hii kwa utovu wa nidhamu
Katika kampeni ya kundi la Women in Football
(WiF) wanaamini Eva Carneiro's aliondoka katika klabu ya Chelsea wataachana na wanawake katika mpira wao kwenye klabu
Morinho aliyafanya hayo kwa kumkataa daktari
huyo kwenye klabu hiyo siku ya jumanne baada ya mchezo wao kati ya SWANSEA ambayo walitoka kwa Chelsea 2- 2
swansea
Ni kati
ya madaktari wa kike wachache ambao walikuwa wanapata ubaguzi mara nyingi
katika klabu hiyo
Wanaamini
kuwa madaktari wa kike wananafasi kubwa kushiriki katika kila kona ya mchezo
kwenye uwanja wa mpira wa miguu
Chama cha
wanawake kwenye mpira kinaamini kukaana na kushirikiana na shirikisho la mpira
wa miguu na klabu jambo la wanawake wakipata tabu mchezoni.
Carneiro and Fearn madaktari wote hawa
wametolewa kwenye klabu kwa kosa la kumtibu mchezaji hazard kwa muda mrefu zaidi
uwanjani kutokana na kocha jose morinho
Msemaji wa shirika moja huko nchini
uingereza amenukuliwa akisema kuwa uelewa wake kwenye klabu na ufanyaji kazi
wake hauna shaka kabisa kwenye klabu isipokuwa jose morinho ndie aliyeleta
shida
wakiwa katika mchezo kocha jose morinho akimkaripia daktari wake
eva carneiro akiondoka kwenye benchi la madaktari wa klabu hiyo
morinho akipiga kelele wakati madaktari hao wakimtibu mchezaji hazard baada ya kuitwa na refa wa mchezo
wanamtibu hazard morinho akidai kuwa mchezaji angepona mapema hata kama asingetibiwa
hii ni post yake ya kwanza kwenye mitandao ya kijamii baada ya kufukuzwa
No comments:
Post a Comment