Monday, 5 October 2015

Mch.christopher Mtikila afariki Dunia

Kuna taarifa kwamba Mchungaji Christopher Mtikila amepata ajali ya gari mkoani Pwani alfajiri ya jana, taarifa zaidi tunasubiria kutoka kwa Kamanda wa Polisi mkoani humo.
Mchungaji Christopher Mtikila akichangia hoja
=====
UPDATES:

JamiiForums imeongea na Kamanda wa Polisi Mkoani humo, Jafari Mohamed na amethibitisha kutokea kwa tukio hilo. Asema kuwa "Taarifa za mwanzo" zinasema Rev.Mtikila amefariki saa 12 kasorobo asubuhi katika kijiji cha Msolwa, Chalinze.

Amesema gari lililokuwa limempakia lilikuwa linatokea Morogoro na kwamba walikuwa watu wanne ambapo wengine watatu wamejeruhiwa vibaya.

Majeruhi wamekimbizwa katika Hospitali ya Tumbi.


Name:  Mtikila.jpg
Views: 41193
Size:  72.8 KB

Gari lililopata ajali likiwa limembeba Mchungaji Mtikila.
Mtikila ambaye alikuwa mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba 2014, aliwahi kuandaa waraka wa kutaka nyongeza ya posho za wabunge hao na kutaka mchakato wa katiba mpya usitishwe kwa madai kuwa umeingiliwa na viongozi.

Alitaka serikali ikubali kutoa posho kwa wajumbe ya Sh. 500,000 kwa siku kwa madai kuwa ndicho kiwango walicholipwa wajumbe wa Tume ya Mabadiliko ya katiba kwa siku ya usafiri na nyuma, hivyo siyo sawa wabunge kulipwa kidogo kuliko Tume.
Mahakama ya Kadhi
Wakati Serikali ilipojiandaa kuwasilisha muswada wa Mahakama ya Kadhi katika mkutano wa 19 wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mch. Mtikila akiw akama mwenyekiti wa (DP), alifungua kesi ya madai Mahakama Kuu Tanzania, Kanda ya Dar es Salaam, akipinga hatua hiyo.
Maisha yake yalikuwa ni ya harakati muda wote
Mchungaji Mtikila alizaliwa mwaka 1950 mkoani Njombe, Kusini mwa Tanzania, ambapo pamoja na shughuli za siasa, pia alikuwa mwanzilishi na Mkuu wa Kanisa la Kipentekoste la Full Salvation.
Kwa muda mwingi wa maisha yake amekuwa anajihusisha na harakati za haki za binadamu kwa kupitia kitengo cha haki za binadamu cha kanisa hilo kiitwacho “Liberty Desk”. Kanisa lake ni moja ya makanisa machache hapa Tanzania yenye vitengo vya namna hiyo.

Soma zaidi -
Mchungaji Mtikila afariki kwa ajali ya gari Chalinze mkoani Pwani


Mada mbalimbali zinazomhusu Mchungaji Mtikila
Mijadala mingine:
Mtikila: Shujaa wa Demokrasia, Mwanamapinduzi halisi na Shujaa wangu...
Man of the moment: Reverend Christopher Mtikila


Mchungaji Mtikila kufungua kesi mahakamani kudai Tanganyika Huru


Mchungaji Mtikila asema CHADEMA wanahusika na kifo cha Chacha Wangwe; kumfikisha Lowassa mahakamani


Uso kwa Uso na Mtikila- Akataa Hongo ya Millioni 100!


Kitendo Cha Rev. Mtikila Kugomea Arrest!, Kinastahili Pongezi!. Watanzania Sasa Tugomee...!


Mtikila: Dr. Slaa na Prof. Lipumba ni wazalendo, Lowassa hatoshi Urais

Mtikila kumshitaki Lowassa Mahakamani, adai Afya haimruhusu kuwa Rais wa JMT


Mtikila kumshitaki Lowassa kwa kukwepa kodi


Mch. Mtikila kuzuia uchaguzi mkuu wa Oktoba 2015 Mahakamani, 2015

Mtikila azuia Muswada wa Mahakama ya Kadhi Kujadiliwa


Waraka wa Mchungaji Mtikila kwa Edward Lowassa


Mahojiano ya Mchungaji Mtikila (Kiingereza)


Rev. Mtikila Confirms Hosting FDLR Commanders in Dar es Salaam

Mchungaji Mtikila: CCM ni Manyani - Epidomea


Mchungaji Mtikila anusurika kuuawa

Mtikila: Kagame amepenyeza Wanyarwanda 35,000 Tanzania


Rev. Mtikila ashida kesi ya kuruhusu mgombea binafsi mahakama ya Africa


Mtikila aibua mapya tume ya katiba


Mtikila amfungulia Mch. Getrude Rwakare kesi 69/2011 high court

Mchungaji Mtikila kwenda Mahakamani kupinga mchakato wa Katiba Mpya!


Mtikila: Slaa alishinda kwa 71%


Mchungaji Mtikila atoa Kali


Mtikila atishia kumshtaki AG

Hukumu ya mgombea binafsi hii hapa (AG vs Mtikila)


Serikali yaamriwa kuanzisha mchakato wa mgombea binafsi, ni baada ya Mtikila kushida kesi


Mtikila atangaza kugombea Urais kama mgombea binafsi


Mtikila ashinda tena kesi ya mgombea huru; Afungua upya Mahakama ya Afrika Mashariki

Mtikila: Nitaenda mahakama ya kimataifa kwa ajili ya kufungua kesi kuhusu Rasimu ya Katiba

tazama hii
https://youtu.be/OnMnPyAzXFM

No comments:

Featured Post

Ronaldo kaonyesha yeye ni mwamba dhidi ya Salah

Mchezaji  wa klabu ya Real Madrid na nahodha wa timu ya taifa ya Ureno amefunga magoli mawili  (2) katika mechi kati ya Ureno na Misri...