Rungnado May Day Stadium, Pyongyang, Korea Kaskazini– Watazamaji 150,000 Kilitengenezwa kwa matumizi mbalimbali May 1, 1989. Kinatumika kwa matumizi mbalimbali mpira wa miguu na matukio mengine ya kisherehe.
2. Salt Lake Stadium, Kolkata, India – watazamaji 120,000 . Kwa matumizi mbalimbali kama mpira wa miguu na michezo ya athletics. Kilitengenezwa January 1984
3. Michigan Stadium, Ann Arbor, MI, United States – watazamaji 109,90. Nicknamed “The Big House”, Hiki
ni kiwanja cha mpira cha Chuo cha Michigan kilijengwa mwaka 1927 na
kuongezewa ukubwa ka miaka kadhaa mara ya mwisho 2010. Ni uwanja wa
Nyumbani wa Timu ya mpira wa miguu ya Michigan Wolverines.
5. Estadio Azteca, Mexico City, Mexico –
Watazamaji 105,000. Kilifunguliwa mwaka 1966 na kupanuliwa mwaka 1985,
Hiki ni kiwanja cha Timu ya Taifa ya Mexico na klabu ya nchini Mexico
inayoitwa Club América
6. Neyland Stadium, Knoxville, TN, United States –
Watazamaji 102,455. Hiki ni kiwanja cha mpira wa miguu cha timu ya
Tennessee Volunteers, Lakini pia kimekuwa kikitumika kwa matukio makubwa
na hata michezo ya NFL kilifunguliwa mwaka 1921, Kilitanuliwa mara kwa
mara lakini mara ya mwisho mwaka 2010
7. Ohio Stadium, Columbus, OH, United States –
Watazamaji 102,329 . Kinapatikana katika Chuo cha Kikuu cha Ohio State.
Lengo lake kuu ilikuwa ni kwa ajili ya timu ya mpira wa miguu ya Chuo
Kikuu cha Ohio State Buckeyes. Kilifunguliwa mwaka 1922 na kuboreshwa
mwaka 2001.
8. Bryant-Denny Stadium, Tuscaloosa, AL, United States –
101,821. Kiwanja cha timu ya mpira wa miguu ya Chuo Cha Alabama.
Kilifunguliwa mwaka 1929 mwanzo kiliitwa Denny Stadium kwa heshima ya
rais wa mwanzo wa chuo hicho George H. Denny na kubalishwa jina mara
kadhaa tena. Kiliboreshwa mwaka 2010
9. Darrell K Royal–Texas Memorial Stadium, Austin, TX, United States –Watazamaji 100,119. Kiwanja cha timu ya Chuo Kikuu cha Texas toka mwaka 1924
10. Melbourne Cricket Ground (MCG), Melbourne, Australia –Watazamaji
100,018. Kilifunguliwa mwaka 1854, Hiki ni kiwanja kinachotumika kwa
michezo ya Cricket. Ni cha timu ya Melbourne city ya Cricket nchini
Australia lakini pia kinatumika kwa michezo mingine. Ndio kiwanja
kikubwa cha Cricket Australia na Duniani kote. Kiwanja hiki kitakumbukwa
kwa michezo ya Olimpiki mwaka 1956.
11. Camp Nou, Barcelona, Spain –
Watazamaji 98,797. Ni cha Mpira wa miguu, kwa timu ya Barcelona.
kilifunguliwa mwaka 1957, kilipanuliwa mwaka 1982, pia mwaka 2008. Moja
kati ya kiwanja maarufu Duniani.
No comments:
Post a Comment