Sunday, 11 October 2015

mkutano wa yusufu manji akiomba kura kwenye uwanja wa mbagala zakhem


Headlines za majina ya watu maarufu kuingia katika siasa na watu kutoka katika tasnia tofauti tofauti imekuwa kawaida kwa mwaka 2015. October 11 uwanja wa Mbagala Zakhem mwenyekiti wa klabu ya Dar Es Salaam Young African na mfanyabiashara maarufu Yusuph Manji ilikuwa ni siku yake muhimu ya kunadi sera zake za kuomba nafasi ya kuwa diwani wa kata ya Mbagala Kuu. Hizi ni picha za mkutano uliyofanyika October 11, aliyoyasema utayasikia katika Amplifaya ya Clouds Fm.
DSC_0170
Yusuph Manji akiwasili katika mkutano
DSC_0179
Yusuph Manji akisalimiana na makada wa CCM kabla ya kupanda jukwaani.
DSC_0202
Manji akiteta jambo na moja kati ya viongozi wa chama
DSC_0246
Ukafika wakati wa kunadi sera zake kwa wananchi wa Mbagala
DSC_0274
Manji akiwa na kitabu ambacho kina kila kitu alichoahidi kufanya kama watamchagua kuwa diwani wa kata ya Mbagala Kuu
DSC_0302
Mgombea ubunge wa Jimbo la Mbagala Issa Mangungu
DSC_0290
Mgombea ubunge wa Ilala Mussa Zungu
DSC_0167
DSC_0164
DSC_0133
DSC_0133

No comments:

Featured Post

Ronaldo kaonyesha yeye ni mwamba dhidi ya Salah

Mchezaji  wa klabu ya Real Madrid na nahodha wa timu ya taifa ya Ureno amefunga magoli mawili  (2) katika mechi kati ya Ureno na Misri...