Chama cha Mapinduzi nchini Tanzania kimemteua Christopher ole Sendeka kuwa msemaji wake.
Uteuzi wake umetangazwa na katibu mkuu Abdulrahman Kinana.
Msemaji wa awali wa chama hicho alikuwa Nape Mosese Nnauye ambaye aliteuliwa kuwa Waziri wa Habari, Utamaduni, Wasanii na Michezo.
Ole Sendeka amekuwa mbunge wa jimbo la Simanjiro tangu 2010.
No comments:
Post a Comment