hadhabu ya mchezaji wa leicester na star wa timu hiyo imeongezwa baada ya yeye kukubaliana na jambo alilofanya la utovu wa nidhamu mbele ya mwambuzi jonathan mosses
vardy akimnyooshea kidole refa wa mechi jhiyo dhidi ya west ham united
kwa hali hii ni kwamba vardy hatakuwepo kwenye mechi yake dhidi Manchester united jumapili ambayo ni mechi dhidi ya leicester ambayo itawapa nafasi ya kushinda kombe la ligi kuu ya uingereza
kushoto ni jammy vardy mchezaji wa leicester ambaye alipewa kadi nyekundu baada ya huu mchezo kwenye tukio hapo kwenye picha mchezaji huyu alikosa mechi dhidi ya swansea city ambayo walishinda kwa magoli 4
No comments:
Post a Comment