kocha wa paris saint germain (PSG) anatajwa kumrithi kocha wa manchester united louis van gaaal
baada ya dili dhidi ya morinho kushindwa kukamilika
bodi ya manchester united imeonyesha wasiwasi kwamba ujio wa morinho utavunja mwelekeo wa kocha msaidizi Giggs
japo kuwa kocha louis van gaal hajaonyesha mafanikio ya makombe katika klabu ya manchester united
kocha huyu bado anaonekana anmwelekeo wa kwenda united lakini badao bodi inawasiwasi
No comments:
Post a Comment