Saturday, 2 April 2016

wenger alaumu kwa ozil kusema Arsenal imepoteza matumaini ya kuchukua ubingwa

Arsene Wenger blasts Mesut Ozil over claims Arsenal have 'screwed up' title hopes
Arsenal wenger hajakubaliana na usemi kwamba arsenal imepoteza matumaini ya kuchukua ubingwa 

wenger asema atakaa na ozil mara baada ya mechi za kimataifa za kirafiki kwenye timu yake ya taifa na kusema sababu ya yeye kusema maneno hayo

ozil alisema haya baada ya kuporomoka kutoka kwenye nafasi ya pili ya kilele point mbili nyuma ya leicester 

nini kilichobakia kwa arsenal katika mpambano wao 
  • JUMAMOSI 2 APRIL: Arsenal vs Watford, 15:00
  • JUMAMOS 9 APRIL: West Ham vs Arsenal, 12:45
  • JUMAPILI 17 APRIL: Arsenal vs Crystal Palace, 16:00
  • ALHAMISI 21 APRIL: Arsenal vs West Brom, 19:45
  • JUMAPILI 24 APRIL: Sunderland vs Arsenal, 14:05
  • JUMAMOS 30 APRIL: Arsenal vs Norwich, 17:30
  • JUMAMOS 7 MAY: Man City vs Arsenal, 15:00
  • JUMAPILI 15 MAY: Arsenal vs Aston Villa, 15:00

wenger amekataa kuwa hatoweza kukubaliana na usemi wa ozil kwanjia yoyote hiyo
bado kocha huyu anaimani kwamba anayonafasi ya kutetea ushindi wake wa mwaka 2004 kwa msimu huu kwakua anaweza kuchukua kombe

akaulizwa kama ataliongelea hili la ozil akirudi kikosini?
amesema kwamba lazima lizungumzwe kwakuwa mchezaji jack wilshere yuko karibuni kurudi uwanjani na lazima wachezaji wawe na imani pamoja na moyo na sio kukata tamaa
Jack Wilshere in training
jack wilshere yuko mbion kurudi uwanjani.
Mesut Ozil in training
pamoja na maneno hayo lakini wenger anaamini ozil atasaini mkataba mpya pamoja na alex sanches


No comments:

Featured Post

Ronaldo kaonyesha yeye ni mwamba dhidi ya Salah

Mchezaji  wa klabu ya Real Madrid na nahodha wa timu ya taifa ya Ureno amefunga magoli mawili  (2) katika mechi kati ya Ureno na Misri...