Friday, 1 April 2016

wachezaji gani watakao ondoka msimu huu na wachezaji gani watakao sajiliwa

Arteta, Terry, Toure, Adebayor
kuna wachezaji ambao watasajiliwa na kuna ambao wataondoka katika klabu wanazocheza
John Terry in action for Chelsea
John Terry (Chelsea)
baada ya kuitumikia miaka 18 sasa ni zamu la mchezaji huyu kutafuta sehemu mpya ya kucheza
klabu zinazomuhitaji au atang'ara ni
 MLS, Chinese Super League, PSG, Inter
Zlatan Ibrahimovic celebrates scoring against Chelsea
Zlatan Ibrahimovic (Paris St-Germain)
yeye mwenyewe ameridhia kukiama klabu hicho na kwenda kukipiga katika klabu za uingereza klabu zinazomuhitaji sana ni 
: West Ham, Tottenham, Arsenal, Liverpool

No comments:

Featured Post

Ronaldo kaonyesha yeye ni mwamba dhidi ya Salah

Mchezaji  wa klabu ya Real Madrid na nahodha wa timu ya taifa ya Ureno amefunga magoli mawili  (2) katika mechi kati ya Ureno na Misri...