
MCHEZAJI ANDRE AYEW AJIUNGA NA KLABU YA WEST HAM KWA ADA YA UHAMISHO £20.5 million.
kwa mkataba wa miaka 4
Mchezaji huyu anakwenda kuungana na mchezaji mwenzake wa klabu yake ya zamani DIMITRI PAYET
Ayew Amefunga magoli 60 katika mechi 202 akiwa Marseille
No comments:
Post a Comment