Thursday, 11 August 2016

Ashley williams ajiunga na everton kutoka swansea

Ashley Williams (Everton)

mchezaji kiungo wa kati ASHLEY WILLIAMS ajiunga na klabu ya everton 

mchezaji huyu aliyetoka katika klabu ya swansea aliiongoza timu yake ya taifa ya WALES kufika mbali na kutengeneza historia 

mchezaji huyu wa miaka 31 ameenda godson park baada ya kuitumikia klabu ya swansea kwa miaka 8 
maneno aliyoyasema william 
nimekuwa swansea kwa miaka nane sasa na kwangu nahitaji changamoto nyingine ambazo zitanisaidia katika maisha pia williams aliiambia evertonfc.com 
kwa miaka mitano iliyopita amecheza mechi 181 kwenye ligi kuu uingereza akiwa na jumla ya magoli 52 
"I wish everyone at Swansea all the best for the future 
maneno yake. 

No comments:

Featured Post

Ronaldo kaonyesha yeye ni mwamba dhidi ya Salah

Mchezaji  wa klabu ya Real Madrid na nahodha wa timu ya taifa ya Ureno amefunga magoli mawili  (2) katika mechi kati ya Ureno na Misri...