
sunderland yafanikiwa kuwasaini wachezaji makinda wawili kutoka klabu ya manchester united
Paddy McNair and Donald Love kwa ada ya uhamisho ya £5.5million
wachezaji hawa wenye umri wa miaka 21 wote kila mmoja wamesaini mkataba wa miaka 4 kutumikia katika uwanja wa stadium of light
kocha moyes huu kwake ni usajili wa tatu kwa kumjumuisha Papy Djilobodji kutoka Chelsea mchezaji beki wa kushoto.
kocha wa sunderland amesema anahitaji sana wachezaji watoto ambao wataijenga klabu yake kwa mafanikio ya badae.
No comments:
Post a Comment