Thursday, 11 August 2016

stones ajiunga na klabu ya manchester city kwa mkataba wa miaka 6

pulse-stones-eve-1516.jpg

beki wa timu ya taifa ya uingereza ajiunga na pepe guardiola katika harakati za kuitumikia klabu ya manchester city kwa mkataba wa miaka 6

mchezaji john stones anasema anayofuraha kubwa sana kujiunga na klabu ya machester city kwa ajili ya kuendeleza kipaji chake chini ya kocha guardiola.

john stones mwenye miaka 22 ataungana na wenzake kama Nolito, Oleksandr Zinchenko, Leroy Sane and Gabriel Jesus, Stones ataongeza nguvu katika upande wa ulinzi zaidi 
ada yake ya uhamisho imefichwa 

No comments:

Featured Post

Ronaldo kaonyesha yeye ni mwamba dhidi ya Salah

Mchezaji  wa klabu ya Real Madrid na nahodha wa timu ya taifa ya Ureno amefunga magoli mawili  (2) katika mechi kati ya Ureno na Misri...