jezi hii inaashiria kuwaenzi waliopotea kwa ajali yandege huko colombia
de bryune na fernandiho
arguero naye akiwa anafanya mazoezi kabla ya mechi yao na chelsea
baada ya mechi wabrazili hawa walionyesha mapenzi na hisia zao kwa wachezaji wenzao kwa taifa lao
ni david luiz na willian
wote man city na chelsea walikaa kimya kuwaenzi walitutoka kwenye ajali ya kolombia
No comments:
Post a Comment