klabu imetumia pesa nyingi kwa ajili ya usajili lakini inafanya vibaya kuliko ilivyotarajiwa na wengi, pep yeye alionekana kuweka washambuliaji wengi na kuwafanya chelsea kuchezea mpira katikati sana na kutengeneza nafasi.
goli la man city ni mpira uliompiga garry cahil na kuingia nyavuni ila baada ya hapo chelsea walitulia na kuonyesha ukomavu kwa kurudisah na kuongeza magoli tena.
gary cahil asema hili ni goli lake la kwanza kujifunga lakini alijaribu kutuliza akili japo haikua rahisi ila kweli wamefanya vyema.
gary cahil ajifunga.
hazard kwa upande wake anasema hakuamini na pia hakuona zile kadi nyekundu walizopewa manchester city ila alishangaa kuwaona wako nje. tulifanya vizuri na tottenham na sasa tumefanya pia
fernandinho ameonyesha utovu wa nidhamu na kufanya kupewa kadi nyekundu ila mwenzake alikaa kimya kukwepa kutolewa na yeye.
fabregas alionyesha uhai na kuifanya chelsea icheze baada ya kukaa benchi kwa muda mrefu sasa tangu september wacheze na arsenal. na kumuonyesha konte kwamba anweza hii ni baada ya kutoka nemanja matic.
konte kocha wa chelsea akishangili aushindi
No comments:
Post a Comment