Manchester United 3-2 Southampton (Ibrahimovic goli la ushindi EFL Cup 2017 kwa United)
19′ 1 – 0 Zlatan Ibrahimovic
39′ 2 – 0 Jesse Lingard
49′ 2 – 2 Manolo Gabbiadini 87′ 3 – 2 Zlatan Ibrahimovic
Manchester united yachukua kombe la uingereza kwa kuichapa klabu ya southampton kwa goli 3 kwa 2Zlatan Ibrahimovic amesema ataisaidia timu yake ya manchester kuchukua makombe mengi katika msimu wake akiwa klabu hapo.

kikosicha timu zote mbili Ambacho kilimenyana katika uwanja wa wembley don uingereza jumapili
No comments:
Post a Comment