Tuesday, 28 February 2017

Shabiki wa Simba aliyefariki baada ya goli la Kichuya

Jumamosi ya February 25 2017 ilichezwa moja kati ya michezo yenye mvuto na ushindani mkubwa kila inapotokea wawili hao wanapokutana, mechi ilimalizika kwa Simba kupata ushindi wa goli 2-1 lakini kuna taarifa za Shabiki wa Simba kufariki wakati Shiza Kichuya anaifungia Simba goli la pili.

Shirikisho la soka la Tanzania TFF limetolea ufafanuzi taarifa hiyo na kueleza kila kitu wanachokifahamu, bonyeza kwenye hii video hapa chini kufahamu kila kitu.

No comments:

Featured Post

Ronaldo kaonyesha yeye ni mwamba dhidi ya Salah

Mchezaji  wa klabu ya Real Madrid na nahodha wa timu ya taifa ya Ureno amefunga magoli mawili  (2) katika mechi kati ya Ureno na Misri...