Thursday, 9 March 2017

Barcelona waweka Historia baada ya kuichapa Psg goli 6-1

Barcelona waweka historia katika kombe la Uefa baada ya kumtoa PSG aliyekuwa akiongoza kwa magoli 4, kitu ambacho watu hawakuamini kama kitaweza kufanyika kwa timu ya barcelona lakini wamefanya na rekodi kubwa sana
Barcelona washinda kwa jumla ya Goli 6-5
Barcelona
Miamba hawa wa Spain walitoka nyuma kwa goli 4 sufuri ambazo walikuwa wamefungwa na PSG hivyo baada ya dakika 2 za mchezo suarez akawapa matumaini ya kuendelea kwa kuifungia goli la kwanza

MAGOLI YAKIFUNGWA NALUIS SUAREZ 3', KURZAWA OG 40', MESSI 50' NEYMAR 88',90+1(P), ROBERTO 90+4GOLI LA PSG EDSON CAVAN 60'
Luis Enrique
kocha Wa barcelona Luis Enrique akishangilia baada ya kufuzu nafasi inayofuata
Barcelona-PSG-comeback-Champions-League-Twitter
Sergio Roberto ahojiwa na kusema hajui jinsi gani alivyofunga goli
Neymar
mchezaji Neymar Kiiingia kambani mara 2 kuipa ushindi timu yake

Edson Cavan Alionekana baada ya kuipa ushindi timu yake wa goli la ugenini ameisadia kufuzu kabla mambo hajabadilika kwao

No comments:

Featured Post

Ronaldo kaonyesha yeye ni mwamba dhidi ya Salah

Mchezaji  wa klabu ya Real Madrid na nahodha wa timu ya taifa ya Ureno amefunga magoli mawili  (2) katika mechi kati ya Ureno na Misri...