Raisi wa FIFA Gianni Infantino akiongea kuhusu mtafarukur uliojitokeza katika mechi baina ya Barcelona na PSG, amewataka wanaotengeneza sheria za mpira kuwa makini katika kuzirekebisha sheria hizo na kuhakikisha kuwa makosa kama hayo yakitokea tena yatarekebishwa |
Hili ndilo goli lililoleta mtafaruku na kudaiwa siyo goli halali huku likitakiwa kutohesabiwa kama ni goli |
Sergi Robert akishangilia goli la ushindi katika mechi dhidi ya Paris Saint German (PSG), Barca 6-1 PSG mechi ambayo imeleta mtafaruku mkubwa kuwa Barcelona walipendelewa na kutaka mechi hiyo irudiwe tena. Mtafaruku huo umeanza baada ya mashabibiki wa Real madrid kupeleka malalamiko kuhusu muamuzi wa mechi hiyo Deniz Aytekin kuwa alifanya makosa ya kuruhusu goli la kwanza linalodaiwa kuwa halikuwa sahihi |
No comments:
Post a Comment