mchezaji wa klabu ya roma na timu ya taifa ya ubelgiji Radja Nainggolan ahusishwa na uhamiaji katika klabu ya Chelsea
japo mchezaji huyo alizungumza na kusema hajafikiria kuhama katika klabu hiyo kwakuwa anayofuraha na anapata nafasi bila shida.
mchezaji huyu mwenye miaka 28 anasema milango iko wazi japo hajafikiria kuihama klabu hiyo.
NAINGGOLAN STATS 2016/17
michezo 37
Ameanza: 33
Magoli: 12
Kusaidi: 3
No comments:
Post a Comment