Sunday, 12 March 2017

Mourihno kurejea Darajani kulipiza kisasi

Image result for FA cup man u vs che
Mtanange mkali unaosubiriwa na mashabikii wengi wa mpira wa miguu duniani kote siku ya jumatatu saa 10;45, mechi kati ya Chelsea dhidi ya Manchester united  katika hatua ya robo fainali ya kombe la mfalme swali la kujiuliza Je, kurejea kwa kocha wa Manchester united darajani kutakuwaje?? kitu cha kuzingatia hapa katika mechi hii ni kuwa mourihno hatotaka kufungwa mara mbili na Antonio Conte( kocha wa chelsea) ili kujenga heshima yake kwa upande wa pili conte hatopenda kuchafua rekodi yake ya ushindi hivyo kwa sababu hiyo mechi hiyo itakuwa ya kukata na shoka

No comments:

Featured Post

Ronaldo kaonyesha yeye ni mwamba dhidi ya Salah

Mchezaji  wa klabu ya Real Madrid na nahodha wa timu ya taifa ya Ureno amefunga magoli mawili  (2) katika mechi kati ya Ureno na Misri...