Tuesday, 14 March 2017

Kante kaiua Manchester united

Chelsea booked their place in the semi-finals of the FA Cup with a 1-0 win over Manchester United at Stamford Bridge
Cheslea wakishangilia goli liliowapeleka nusu fainali ya mashindano ya kombe la mfalme katika uwanja wa STAMFORD BRIDGE
Former Leicester City midfielder N'Golo Kante capped a fine individual performance with the winning goal just after the break
Ng'olo Kante akiifungia bao la ushindi na la pekee kwa timu yake ya chelsea ambayo imefuzu kuingia hatua ya nusu fainali Chelsea 1-0 Manchester United

No comments:

Featured Post

Ronaldo kaonyesha yeye ni mwamba dhidi ya Salah

Mchezaji  wa klabu ya Real Madrid na nahodha wa timu ya taifa ya Ureno amefunga magoli mawili  (2) katika mechi kati ya Ureno na Misri...