Wednesday, 8 March 2017

pep Guardiola Anahitaji Kuwasajili wachezaji wa uingereza zaidi kwenye klabu yake

Pep Guardiola amekiri kuwasaini wachezaji wa uingereza katika kuimarisha kikosi chake cha Manchester City.
Pep Guardiola wants to buy English to create solid Manchester City core with Jack Wilshere among targets
Anaewahitaji Kocha huyu ni kiungo wa  Arsenal Jack Wilshere, Tottenham Hotspur, Danny Rose na Kyle Walker, pia goli kipa wa Sunderland Jordan Pickford, na yeye ndiye anafanyia kazi kwa nguvu ili waweze kulifanikisha hili.
Wilshere - Pep Guardiola wants to buy English to create solid Manchester City core with Jack Wilshere among targets
Pickford Jackwilshere kwa sasa yuko Bournemouth kutokea Arsenal Kwa mkopo
kocha huyu wa city Amesema anahitaji kuwa na Wachezaji wengi wa Uingereza
Kyle Walker and Danny Rose Walker na Rose wakiwa kwenye kushangilia baada ya kufunga goli

No comments:

Featured Post

Ronaldo kaonyesha yeye ni mwamba dhidi ya Salah

Mchezaji  wa klabu ya Real Madrid na nahodha wa timu ya taifa ya Ureno amefunga magoli mawili  (2) katika mechi kati ya Ureno na Misri...