PSG watuma barua yenye kurasa tano kwa wasimamizi wa klabu bingwa ukaua kutokana na uchezeshaji mbovu wa refa Deniz Aytekin, ujumbe huu unabebwa na karatasi zenye kurasa tano kuonyesha makosa yote na makosa yao zaidi ni nini.
pia wameeleza makosa nane ambayo yanafanyika kila mara na hufanyika kumkandamiza mpinzani wa klabu kubwa sana sana barcelona.
Pierluigi Collina atachukua maamuzi kama atamfukuza kazi refa yule au atamfanya nini?
Hata hivyo PSG wanaona kwamba sio heshima waliofanyiwa Deniz katika mchezo ule ambao umewafanya wachezaji wengi wa klabu hiyo ya ufaransa kujisikia vibaya.
pamoja na hayo wameeleza penati yao waliokataliwa kwa beki kumchezea vibaya Dimaria kitu ambacho Javie Mascherano alikubali kufanya hivyo lakini alisema hiyo sio sababu ya wao kuwatoa PSG.
No comments:
Post a Comment