Ni kibarua kizito kwa washika bunduki wa london kuwafunga manchester city ili kufuzu kuingia fainali, je vijana wa Wenger wanaweza kuwafunga vijana wa Guadiola???? |
Kombe hili la nani???? |
Timu kali za london kukutana hatua ya nusu fainali, chelsea na tottenham wameshakutana msimu huu na kila mmoja kumfunga mwenzie mara moja, timu hizi zitakutana tena katika hatua ya nusu fainali kumtafuta atakaeingia fainali ya kombe la mfalme |
No comments:
Post a Comment