Mchezaji wa manchester city Gabriel Jesus Yuko nje ya Uwanja tangu february 13
mchezaji huyu wa kibrazili (19) aliyehamia klabuni hapo kutoka Palmeiras amesumbuliwa na majeruhi tangu katiakati ya mwezi huu.
amefunga Mara tatu katika awamu nne alizochezea klabu hiyo
No comments:
Post a Comment