Wednesday, 8 March 2017

uefa wasema mchezo kati ya manchester na Rostov utachezwa japokuwa Morinho kuwa na wasiwasi


kocha wa Manchester united Amesema kiwanja kwa ajili ya mchezo wao na Rostov hauko vizuri na haujakidhi vigezo kutokana na viwango vya UEFA
Wataalamu wamesema kwamba Hakuna namna kutokana na maamuzi ya UEFa

uwanja huo hapo chini

No comments:

Featured Post

Ronaldo kaonyesha yeye ni mwamba dhidi ya Salah

Mchezaji  wa klabu ya Real Madrid na nahodha wa timu ya taifa ya Ureno amefunga magoli mawili  (2) katika mechi kati ya Ureno na Misri...