beki wa klabu ya juventus Alex Sandro yuko mbioni kujiunga na klabu ya nchini uingereza ya Chelsea kwa ada ya uhamisho ya paund milioni 60.
Inter milan imeembia klabu ya manchester united kwamba itahitaji ada ya paund milioni 44 ili aweze kuhama klabuni hapo
klabu ya Ac Milan inamuhitaji beki kutoka Arsenal kwa ajili ya kujazia pengo la ulinzi klabuni kwao
Laurent Koscielny ndie mchezaji ambaye timu hizi zinamuangalia sana.
Atletico madrid inamuangalia Zlatan Ibramovic kama mbadala wa mchezaji anayechezea chelsea Diego costa msimu ujao, kwakuwa wako mbioni kumsajili na wanatarajia kumpata au laa ndio maana wameweka kama mbadala wake.
Chelsea inamuhitaji mshambuliaji kutoka katika klabu ya Sevilla, Vitolo yupo katika mipango ya Konte.
No comments:
Post a Comment