Hatima ya mshambuliaji Phillipe Coutinho(25) mchezaji wa Brazil na klabu ya Liverpool bado ipo mashakani, hii ni baada ya ofa ya barcelona ya kumtaka mshambuliaji huyu kukataliwa mara tatu, je vinara hao wa spain watafikia lengo lao?
Moja kati ya usajili unaoumiza vichwa wadau wa soka duniani ni kusuburia kama liverpool watamruhusu Coutinho au atabakia anfield |
No comments:
Post a Comment