Kylian Mbappe ameendelea kupata shamra shamra ya mapokezi kutoka katika klabu yake mpya ya (PSG) Paris Saint-Germain msimu huu.
has marked Mchezaji huyu mwenye miaka 18 ni miongoni mwa wachezaji walioingia katika makundi ya Mastaa ambao waliama kwa kitita cha pesa lakini huyu pia amehama kwa ada ya £166 million.
Kylian Mbappe mchezaji ambaye picha zake ziko kila kona katika hali ya picha za video mitaa mingi, amekuwa mfalme wa soka zaidi ya jinsi alivyopokelewa mchezaji mbrazili NEYMAR
Picha ya Kylian Mbappe zikiwa katika jengo mashuhuri nchini Ufaransa kama ishara ya mapenzi kwa mchezaji huyu.
No comments:
Post a Comment