kiungo wa kati wa klabu ya liverpool atakosa mechi ya ufunguzi wa ligi kutokana na matatizo yaliyomkumba lakini hii imeleta wasiwasi wa kiungo huyu kubakia katika klabu hii, yote haya yamekuja baada ya klabu ya Barcelona kuonyesha kumtaka mchezaji huyu.
Coutinho ameanza kukosa kwenye mazoezi na inasemekana zipo sababu za majeruhi na wengine kwenye sababu ya kuhamia barcelona lakini kocha wake wa liverpool amesema mchezaji huyu hataondoka katika klabu hiyo.
kocha klopp anaonekana kukosa amani na klabu ya barcelona kwa jinsi wanavyokuja na kuonyesha nia yao kwa kiungo wake, lakini pia mchezaji anaaanza kusuasua kwenye klabu.
pia bercelona wamejikita kwa mchezaji Dembele wa Dortmund kama mbadala kama watakuwa wamemkosa mchezaji courtinho, kitu kilichofanya asionekane kwenye mazoezi.
maofisa wa Nou Camp walisafiri kwenda ujerumani kwa ajili ya kufanya mazungumzo na makubaliano na mchezaji na wamefikiria kumpa £135m.
No comments:
Post a Comment