Paris Saint-Germain imejiandaa kumchukua mchezaji kylian mbappe kwa ada ya £163m Monaco kwa kuipiku klabu ya Real madrid na Barcelona.
mchezaji kliyan mbappeakaribia kusaini katika klabu ya PSG,
kwasababu ya mpango wa klabu ya PSG timu hii iko karibuni baada ya kumsaini NEYMAR kutoka klabu ya Barcelona.
mchezaji NEYMAR akiwa na klabu yake mpya ya PSG kutoka Barcelona.
mchezaji Mbappe amecheza mechi 41 za monaco baada ya kutoka katika mechi kubwa
No comments:
Post a Comment